Download New Music: Barakah Da Prince & Ruby – 'Nivumilie'


Huu ni wimbo mpya wa msanii Baraka Da Prince na Ruby uitwao ‘Nivumilie.’ Wimbo umetayarishwa na watayarishaji watatu, Nusder/Lollipop/Kidboy na umeandikwa na Lollipop.

Click ku Download New Music: Barakah Da Prince & Ruby – 'Nivumili.e'

Sikiliza.