Staa wa filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amesema hatobadilisha msimamo wake wa kushabikia vyama vya upinzani kwa kulaghaiwa na wasanii wachache kwa maslahi yao binafsi .
Shamsa alisema hayupo tayari kufuata maamuzi ya watu wengine hata kwa lungo la fedhakwani kufanya hivyo I kujidhalilisha
.
“Mimi nitabaki huku kwa kuwa nahitaji mabadiliko,” kila siku wasanii tunalia tukidai tunaibiwa na hakuna utekelezaji na matokeo yake tunapewa ahadi zisizoisha.”
Aidha , Shamsa Fordaliwataka mashabiki kuwaona kama watu wakawaida kwani baada ya siasa maisha yataendelea kama zamani.