ENTERTAINMENT
Swali kubwa kwa Irene ni kweli amewahi kuchepuka? yani kutoka na Mwanaume mwingine wakati huohuo akiwa kwenye uhusiano na Mwanaume mwingine? jibu ni >>>>‘Kuchepuka mbona kawaida tu watu wanachepuka, nilijikuta tu unajua wakati mwingine upo na mpenzi wako alafu anakuboa mpaka vitu vinafika shingoni, mpaka unasema aaaaah kwanini na mimi nisifanye?’
Itakua poa zaidi ukimsikiliza mwenyewe hapa chini na uone anavyochachamaa baada ya kuulizwa hilo swali