JAMAA ALIYEFANYA ZOEZI LA KURA ZA MAONI KWENYE BOX KARIAKOO NA LOWASSA KUSHINDA AKAMATWA NA POLISI
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mtu mmoja huko Kariakoo jijini Dar amekamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo atakayopata na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi .