Patrick Rushing ni Meya wa Mji wa Airway Heights ambao uko Washington, jamaa alijikuta tu akimwita Obama nyani na akamwita Michelle Obama sokwe !!
Ukizungumzia ishu ya Ubaguzi wa rangi Marekani sio kesi ndogo, lakini Meya Rushing amesema yeye sio mbaguzi japo aliyaandika haya kwenye ukurasa wake Facebook >>>> “Huyu mwanamke Michelle mwenye uso wa sokwe hamvutii mtu yoyote labda Obama mwenye uso wa nyani.. waangalie masikio yao, LOL” >Patrick Rushing.
Gazeti moja la Marekani lilitembelea ukurasa wake wa Facebook na kukuta post zaidi ya 75 zikihusiana na ubaguzi wa rangi, Wahamiaji wanaoishi Marekani, zipo alizompondaHillary Clinton na pia nyingine kawaponda wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
VIDEO YA STORI YENYEWE NDIO HII HAPA CHINI…