“Nina mashaka na mpango wa Mungu, jua linawaka linazama sipati mchumba lakini kila nikijaribu kurusha kete yangu sehemu nakuta mtoto wa watu siku nyingi tayari ana ujauzito alafu hayupo sawa na jamaa aliyempa huo ujauzito, sasa hii maana yake nini jamani? Nauona kabisa ubaba wa kambo au kufikia unaninyemelea.”