
Ukweli ni kwamba kila kampuni, kila ofisi inatanguliza kwanza manpower ya kiume...maana KE mambo mengi, mara kuolewa, mara hedhi, mara kujifungua...ndio maana wenzetu ulaya sekta zingine zimeweka wazi kabisa kuwa km ww ni KE na unataka ajira hapa...hakuna kuolewa wala kuzaa.
These dudes were designed to serve men. Na huwezi tumikia mabwana wawili...ndio maana mwanamke akishika pesa, anadharau mwanaume/haoni tena umuhimu wa mwanaume...na akiwa na bwana ake/mwanaume wake, hakuna kingine kinachomake sense zaidi ya mwanaume wake...ndio maana ni rahisi wao kuacha kazi wakufuate unakoamua kwenda kutia nanga.
Ni mtazamo tu, washkaji msijenge chuki