Stori kwenye headlines now ni mjengo alioujenga Jux… ambapo sasa rasmi ameingia kwenye list ya mastaa wa bongo na mijengo yao akiwemo Shilole anaejenga, Diamond Platnumz ambae inaripotiwa anakaribia kuhamia kwake, pia Nay wa Mitego pia anaejenga gorofa wakati Idris Sultan mshindi wa BBA 2014 amehamia kwenye nyumba yake wiki iliyopita.
Unaweza kutazama kipisi cha hii video hapa chini umuone Jux akiwa kazini Zanzibar.