Ninayo tayari collabo ya Mafikizolo, Diamond na mastaa wengine Africa… ‘Tell Everybody’ (Video)


Good news mtu wangu, ile collabo ya kundi la Mafikizolo kutoka South Africa na mtu wetu Diamond Platnumz imetoka!
‘Tell Everybody’ ndio njia la wimbo, na ni wimbo ambao ni sehemu ya project ya Umoja wa Mataifa iitwayo UN Sustainable Development Goals (SDGs) yenye dhamira ya kupambana kutokomeza umasikini, kurekebisha tabia nchi na kuhamasisha usawakufikia mwaka 2030.
global3
Diamond Platnumz.
Wimbo huu umeshirikisha pia wasanii kutoka nchi nyingine za Kiafrika, wapo wakina Yemi Alade kutoka Nigeria, Sauti Sol kutoka KenyaToofan kutoka TogoBecca naSarkodie kutoka Ghana na Diamond Platnumz ndiye staa aliyewakilisha +255 Tanzaniapamoja na Mafikizolo kutoka South Africa!
Kuna mchanganyiko pia wa lugha mbalimbali ikiwemo Kiingereza, Kifaransa, Kiswahilina Kizulu... kizuri zaidi ni kwamba kila verse utakayoisikia kwenye wimbo huu basi ujue imeandikwa na msanii mwenyewe!
Hapa ninazo baadhi ya picha za wasanii walioshiriki kufanikisha hii project mtu wangu…
global2
Becca Kutoka Ghana
global3
Diamond Platnumz, Tanzania.
global4
global5
Mafikizolo na wasanii wengine.
global6
Diamond Platnumz na wasanii wengine.
global7
Mafikizolo, South Africa.
global8
Nhlanhla Nciza wa Mafikizolo.
global10
Theo wa Mafikizolo.
global11
Yemi Alade, Nigeria.
global12
Kama bado hujabahatika kukutana na video ya ‘Tell Everybody’ karibu uitazame hapa chini mtu wangu…
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter fb  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos