
Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye
TV na
Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania
Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani,
BET ya Marekani.
Tazama hii video hapa chini ujue hizo milioni alizozichukua Diamond.