Picha: Shilole naye ajichora tattoo ya jina la Nuh Mziwanda 'Nuh Baby'


Baada ya Nuh Mziwanda kusemwa na wengi juu ya kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake, NayeShilole kaamua kujichora na kuandika 'Nuh Baby'.
Haya ndiyo aliyo yaandika Mziwanda "N dis is how ma baby girl respond it to Me 'thank you darling 'mapenzi yanaongea #familiesTattoo #Hadithi"