Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’


Picha:  Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
  • Picha:  Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’ 1
  • Picha:  Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’ 2
  • Picha:  Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’ 3
  • Picha:  Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’ 4
  • Picha:  Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’ 5
  • Picha:  Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’ 6
 

Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.