SAUTI YA BABA LEVO KUHUSU GHETO LA DIAMOND:-BAFUNI KWA DIAMOND PLUTNUMZ NMEKUTA NAKSHI ZA DHAHABUN.


Diamond houseKama ulipitwa na Fix za Baba Levo ambae huwa anasikika kwenye Ampifaya ya CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa, moja ya fix zake wiki hii ilikua ni kuhusu nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo imetengenezwa kwa gharama na kunakshwiwa kwa gold bafuni.
Kupata utani wote wa Baba Levo kuhusu hii nyumba ya Diamond na Wasanii wengine bonyeza play hapa chini mtu wangu.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook
Picha nyingine za nyumba ya Diamond kabla na baada ya kumalizika ndio hizi hapa chini
diamond 2
diamond 3
diamond 4
diamond 5
diamond 6