Taasisi ya TWAWEZA imesema CCM inakubalika kwa 66 % ! ya wengine nimeyanasa hapa pia
Wakati tukiisogelea siku ya uchaguzi mkuu wa Urais, Wabunge na Madiwani October 25 2015, yafuatayo ni matokeo ambayo taasisi ya TWAWEZA inasema imeyapata kutokana na utafiti uliofanyika kuhusu mwenendo wa siasa Tanzania na kutaja ni vyama gani na vinakubalika kwa kiasi gani na Watanzania.
Aidan Yekuze ndio Mkurugenzi Mtendaji wa hii taasisi ambapo sauti yake yote ya aliyoyazungumza yako hapa chini kwenye hii sauti unaweza kubonyeza play na kusikiliza kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
UNAWEZA KUSIKILIZA SAUTI YOTE KWA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI.