
Ilikua August 17 2015 Dar es salaam kwenye birthday party ya Rommy Jones ambaye ni ndugu wa mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz vilevile ndio official Dj wake ambapo vilevile
AyoTV ilimpata Diamond kwenye Interview akiongelea msg ambazo anaonekena kaandikiana na Wema, ishu ya kupima
DNA kwa mtoto wake na Zari.