Video Yamoto Band waliyoifanya South Africa ndio hii imetoka…


Watoto kutoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe TMK walijisogeza mpakaSouth Africa na kufanya video yao ya kwanza na kampuni ya kimataifa ya God Father ambayo imekua ikifanya kazi kubwakubwa na mastaa kama P Square, Davido na Diamond Platnumz.