EXCLUSIVE: Video ya Kilichonaswa kwenye Talaka ya Flora Mbasha na Mumewe...Flora Mbasha Adai Bado Anampenda Mumewe
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumeweEmmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa yote yapo kwenye hii video hapa chini.