![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdWIwr0FBCB42LhDMh843GwQYsCyjOAwGnJlIh3PYUuK3FUDyBasysTsCNcGWCiGZiyXSyyvh_dk4Wxzk9a33vLvIini4QTpSqd3HsW8qYHgP9eEWGsaFOnP5yw19RDigqxfYW9sZxkNA/s640/Goga-Bai-II.jpg)
Rekodi nyingine kubwa kwenye Kumbukumbu Marekani ni ya mtoto aliyezaliwa na uzito wa Kilo 6.8 mwaka 2014, lakini India nao wana Rekodi kubwa iliyowekwa kwa watoto wachanga wanaozaliwa.
Mama Goga Bai amejifungua mtoto wa kiume October 01 2015 na Rekodi ambayo mtoto wake ameiweka India ni ya kuzaliwa na uzito mkubwa zaidi ambao ni Kilo 5.9.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjD3Z3ywDZxahwksUKibOiiVigVBszEXgAEuGh6O8cmV2alDFVkZj5GZ_RA21u0OMY5TZ7GtzraqwpUepT47uwyX8ODvnkmjuoaE3yWMaTB3hUKUOebHQWulfYOvwWXocuNPt5LNh8iGxY/s640/Goga-Bai-III.jpg)
Daktari mmoja amesema huyo mtoto amevuja Rekodi ya kuzaliwa na uzito mkubwa zaidi kwa sababu wastani wa watoto wanaozaliwa India ni kati ya Kilo 2.5 na kilo 3.5.
Mama huyo kajifungua salama kabisa na yeye pamoja na mtoto wake wako kwenye afya nzuri