NELSONI MOSHI AZAMA KWA BIBIE NISHA

Hatimae msanii wa filamu ajikuta akijitupia mazima katika penzi zito la mwanadada Nisha Nurdin.Msanii ajulikanae kwa jina la Nelson Moshi amejikuta akifall in love kwa bidada Nisha a.k.a Shamsa ambapo mwanzo ilisemekana ya kua bidada huyo alikua ni girlfriend wa meneja wake Nelson.

Mwanzo tulipo mfata jamaa yetu Nelson alikanusha usemi huo na kudai kwamba walikua mabest tu.But this time mshkaji kaamua kujiachia  mazima katika mtandao wa kijamii yani Facebook na kutupia pics ambazo zinamuonyesha bidada Nisha akimpga busu mshkaji.
Hatukuishia hapo basi tulizidi kuchimbua ili tujue ukweli zaid ebhana si tuliamua kumnyongea waya meneja wa Nelson ambae aajulikana kwa jina la Hb Wille ila kwa bahati mbaya tulimkosa mshkaji on line but kaa hapo hap punde tutakujuza















<=Bidada Nisha katika pozi