Ujumbe wa Rais wa Marekani Barack Obama baada ya miaka 23 ya ndoa yao…







October 3, 1992 Rais wa Marekani Barack Obama na mke wake Michelle walifunga ndoa katika kanisa la Trinity United Church huko Chicago. Marekani.


Obama na Michelle siku ya harusi yao

Jana Obama na mke wake walisherehekea kutimiza miaka 23 ya ndoa yao.


Obama, mkewe Michelle wakiwa na watoto wao Sasha na Malia

Obama hakuacha siku yao ipite hivi hivi huu ndio ujumbe wake.