Skip to main content
MKAZI MMOJA WA MKOA WA MOROGORO AMEJIKATA KIDOLE CHAKE BAADA YA LOWASSA KUKOSA URAIS
Mkazi mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono
wa kushoto ambacho huingizwa kwenye wino baada ya kupiga kura ikiwa ni
hasira ya Lowassa kukosa uraisi.
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yake.