
Ni baada ya mgogoro wa muda mrefu ulikua kati ya Camera man Snigar na Director Mwenda kuhusu ile video ya wimbo mpya wa K sali una kwenda kwa jina la Kidogo.Nikukumbushe kidogo Mwenda ambaye ashawahi ku director wa filamu kama ITANIGHARIMU, NIMEBADILIKA na nyinginezo nyingi ndio aliyetoa malalamiko haya ambayo yamepelekea ishu kua gumzo kidogo hapa town.Hatimae KS Tv na crew yake nzima iliweza kumpata mtu mzima Mwenda na kuweza kuzungumza nae machache.
Labda nikukumbushe kidogo mtu angu ni kwamba hapa katikati kulikua na mzozano mjini njombe baina ya ya director wa wimbo wa kidogo na camera man aliye shoot video ile pa na kuedit.
Lakini yalisikika malalamiko kutoka upande wa director na kudai kua ule wimbo alidirect yeye so inakuaje mwishoni wimbo uandikwe Directed by Snigar na sio Mwenda.Kutokana na hali hiyo kua tete KS Tv iliamua kumfata direct mwenda na kufanya nae mahojiano kama video ilivo onyesha but nakuahidi sitoishia hapo ntafanya yangu mpaka nihakikishe nampata Snigar ili nae aweze kutueleza yake naamini kwa wale watalamu wa mambo ya music wanaelewa but sote tunahitaji kuelewa zaidi.Ila watu mi sitaki niwapotezee time labda tumsikilize Mwenda tuone anasemaje then ntafanya yangu mpaka nihakikishe nampata Snigar ili nae atupe utamu Ila mtu wangu wa nguvu kumbuka kukaa karibu na KS Tv kwa habari motomto.Ili kuupata wimbo huo unaokwenda kwa jina la kidogo nenda ktk lebel zetu chini kabisa then click KS TV