SHUHUDIA ZAWADI ALIYOZAWADIWA MBUNGE WA DODOMA MJINI NA MARAFIKI ZAKE WALIYOMWANDALIA PARTY YA KUMPONGEZA



Ama kweli Maisha Baada ya uchaguzi yanaendelea tunaweka tofauti zetu pembeni na kujiunga kuwa kitu kimoja na mapambano ya kulijenga Taifa yanaendelea, Hii ndio zawadi aliyozawadiwa Mh Mbunge Anthony Mavunde kwenye Party iliyoandaliwa na Marafiki zake ilyofanyika katika Ukumbi wa Royal vilege