WEMA SEPETU ASHUTUA WATU AANDIKA UJUMBE MZITO...ADAI SIKU ZA KIFO ZIMEKARIBIA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:
"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...."