
wanachi kwa njia filamu..
Filamu hiyo imechezwa na muuangano wa wasanii mbalimbali ikiwemo wasanii wa Njombe mjini na wasanii wa ludewa. Filamu hiyo imesimamiwa na mke wa hayati Deo Filikunjombe kupitia msanii wa muziki wa kizazi kipya Addy ambaye alishilikiana na mheshimiwa marehemu Deo Filikunjombe katika suala la kampeni..
Filamu hiyo imeongozwa na Jofrey Mwenda ambapo imeshutiwa katika wilaya ya ludewa.Filamu hiyo inategemewa kuachiwa mapema mwaka huu mwezi wa tatu mwanzoni.

ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU
LIKE PAGE YETU YA FB HAPA