Official Video mpya mpya ya Ice Prince feat. YQ – ‘That Girl’ ametusogezea hapa!






Video ya kwanza ya Ice Prince kwa mwaka 2016 ni hii ya That Girl
 aliyomshirikisha msanii mwenzake YQ.

Nakukaribisha hapa kuitazama mtu wangu.