Pam D azindua Video yake ya Popo Lipopo Maisha Basement
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Pamela Daffa akizindua wimbo video yake mpya ya Popo Lipopo ndani ya Maisha Basement usiku wa kuamkia leo kwa kuimba na mashabiki wake.
Pam D akifanya yake na Mesen Selekta.
Pam D (mwenye kipaza sauti) akiongea na mashabiki wake.
Wacheza shoo wakiendelea kufanya yao.
Pam D akicheza na wacheza shoo wake.
Msanii na Mtarishaji wa muziki wa bongo fleva Mensen selekta akifanya yake.