Wastara Afunga Ndoa na Mbunge wa CCM usiku wa Jana

ndoa ya wastara

Mbali na sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili zilizowekwa X kuwa bado halijapoa, Muigizaji Wastara Juma, jana usiku amefunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma.
ndoa ya wastara
Hongera sana Wastara.
Eatv on facebook

ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU
LIKE PAGE YETU YA FB HAPA