DUHH OMMY DIMPOZ AJUTA KUPIGA PICHA NA ROONEY..GHARAMA YAKE NI HATEREE


Msanii Omy Dimpoz amefunguka kuhusu vacation yake ya Ibiza na kudai gharama

 za maisha kule ni juu sana

Akaongezea kile kisiwa alichoenda na kupiga picha na Wayne Rooney ku book

 meza kwa ajili ya lunch ilikuwa ni Euro 10,000 ambazo ni around milion 25 za

 Tanzania
Akizungumzia kuhusu watu kusema yule sio Rooney Original  amedai hiyo ni kawaida kwani inawezekana hata mtu akatoka mkoani na kupiga nae picha kisha akawaonyesha wenzake na kumbishia wewe huwezi kupiga picha na Ommy Dimpoz :