Barnaba katuletea hii ‘Yalaaniwe mapenzi’, itazame hapa (video+)



NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Barnaba ambae time hii ametuletea video mpya iitwayo Yalaaniwe mpenzi, itazame hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia