NEW RUN TOWN SONG VIDEO


Ni style mpya kabisa tanzania ambayo imekua ikifanyika mbele yani nje ya bara la africka.So ni vijana flani amboa wameamua kufanya kitu cha kipekee kabisa .SO MZIGO HUO UNATEGEMEA KUDONDOSHWA LAIVUUUUU HIVI KARIBUNI UKIWA CHINI YA LEBO YA BAVA pamoja na lebo ya FILAMEKA. Ikiwa ni chini ya usimamizi wa Ahmadboy maarufu kama DBOY so wadau msikae mbali so soon nakuletea mzigo huo......