KUMBE KRISH ANATOKA NA HUYU?VIDEO

       Msanii wa filamu bongo Krish Sebastian aliamua kuweka wazi uhusiano wake na bidada mmoja

ambae alionekana wazi kua ni mgeni ktk macho ya wasanii wengi walio hudhulia ktk party ya

msanii huyo.Mshkaji aliamua kufanya laivu vitu flani pasipo woga japo watu wanadai mshkaji aliamua

kufanya vile ili kumtolea uchovu mlindembnwe mmoja ambae nae alionekana kuhusika vizuri ktk

party ya mshkaji huyo huku wadakuzi wetu wakidai ya kua mlindembwe huyo alishawahi kudate

na mchizi.Kwa haraka mlindembwe huyo alijulikana kwa jina la Cornelia na tulijaribu kumtafuta bidada huyo ili kujua ukweli zaid ila alitutolea njee embu cheki video hiyo hapo chini