Wiki chache zilizopita msanii kutoka Nigeria Davido aliweka headlines baada ya kufikisha followers Milion 1 kwenye Instagram, na kabla ya hapo Wizkid nae aliingia kwenye hesabu ya mastaa wa Africa wenye idadi kubwa sana ya followers kwenye mtandao huo.
Safari hii ni time ya msanii kutoka Tanzania kuweka headlines zake kwenye kurasa zasocial networks… ukipita kwenye page ya Diamond Platnumz sasa hivi utaona mabadiliko kwenye idadi ya followers alionao… idadi ya followers kwenye page yaDiamond sasa hivi imegonga MILLION 1!!
Hii inaonyesha wazi kabisa kuwa mtu wetu Diamond Platnumz anakubalika na idadi kubwa sana ya watu.