Muongozaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo , Jacob Stephen ‘JB’ amewaomba wadau wa tasnia ya filamu kuwa filamu yake mpya ya Chungu cha Tatu iliyomshirikisha mwigizaji Wema Sepetu aitoebaada ya uchaguzi utakaofanyika mwezi ujao jakokuwa kwa sasa ipo tayari hii ni kutokana na upepowa uchaguzi kuvuma kwa kasi na kugawa mashabiki.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, JB alifunguka
Wadau filam yenu ua Chungu Cha Tatu ipo tayari, lakini kwa sababu joto la uchaguzi liko juu nilikuwa naomba kwa ruksa yenu niitoe baada ya uchaguzi...au mnasemaje?