Video ikionyesha Mabasi mapya ya kisasa Dar yalivyofanyiwa test kubeba abiria
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
August 17 2015 yalitambulishwa rasmi kwa Watanzania mabasi yatakayo safirisha abiria kwa haraka zaidi kutokana na kupita kwenye barabara yake maalum, ni mradi ambao una miaka zaidi ya 10 toka umeanza kufanyiwa kazi.
Pamoja na kufanikiwa kufika walipofika….. Mabasi haya yaliyojaribiwa milango ya abiria kushuka na kupanda iko kushoto hivyo abiria wanalazimika kushukia na kupandia upande tofauti na ilivyotakiwa, tazama hii video hapa chini.