Msanii Jackline Wolper ni mwigizaji kutoka bongo movie ambaye August 6 2015 alipost picha ya Ali Kiba naDiamond Platnumz wakionekana kuwa pamoja kwenye foleni ya chakula kwenye party iliyofanyika ya kumuaga Rais Jakaya MrishoKikwete Mlimani City Dar es salaam.
Baada ya Wolper kuiweka hiyo picha hapo juu aliandika hivi...
Sasa nyie endeleeni kugombanisha watu wanaojuana na msiojua walipotoka, haya sasa mwanzo ndo ule kati mlizusha mwisho mnapajua???? waacheni jamani…. Mungu atapanga mwenyewe watag na muonge chochote chenye kujenga siyo kubomoa # one love ‘