BURUDANI na KS Tv
Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.
Usiku wa jana, Novemba 1 staa wa Bongo Movies , Wema sepetu aliangusha pomba la pati ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo mastaa wengi wa hapa bongo walikuwepo akiwepo na mpenzi wake Luis pamoja na mama yake mzazi.
Pia Wema Sepetu alionyesha gari lake jipya alilonunua aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.