Picha za Kwanza Kutoka Uwanja wa Taifa Kwenye Tukio la Kuapishwa Kwa Dk John Pombe Magufuli...Watu Wafurika Wengine Wakosa Nafasi ya Kuingia

Leo  Rais  mteule  wa  awamu  ya  tano, Dk. John Magufuli anaapishwa  rasmi  ambapo  asubuhi  hii  viongozi  mbalimbali  wanaendelea  kuwasili  uwanja  wa  uhuru  kushuhudia  sherehe  hizi.
  
Watu  ni  wengi  sana, mvua  nayo  inanyesha  kuonyesha  ni  tukio  lenye  baraka