Wizkid kushirkishwa kwenye wimbo wa Alicia Keys, Asema tayari amerekodi nyimbo tano na rapper wa Marekani Ty dolla sign
Wimbo wa Ojuelegba wa Msanii kutoka Nigeria, Wizkid umemletea mafanikio makubwa kwenye muziki wake ni pamoja na wasanii wakubwa wa Marekani kutafuta collabo yake, Drake aliomba kufanya Rmx ambayo pia imemsaidia kutoboa zaidi kwenye soko la Marekani.
Wizkid ambaye alikuwepo nchini kwa ajili ya show iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, amesema amepata collabo kubwa za wasanii wa Marekani, Wizkid aliweka wazi kuwa King of R&B R Kelly aliwakimpigia simu kumuomba kupiga collabo ya wimbo ambao utakuwa kwenye album mpya ya R Kelly, wimbo utakuwa R Kelly ft Wiz Kid “.http://uhakikasite.blogspot.com/
Pia Wizkid amethibitisha kuwa hadi sasa tayari amefanya nyimbo tano na rapper wa Marekani Ty dolla $ign