KIMENUKA Tena...Wafanya Kazi wa Kiwanda cha Urafiki Wagoma Tena..Wawafungia Uongozi wa Kiwanda Hicho Ndani, Mabomu Yarindima
![]() |
Wafanyakazi Kiwanda cha Nguo Urafiki |
Jeshi la Polisi Dar es Salaam leo limelazimika kutumia mabomu ya
machozi kuwatawanya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki ambao
walifanya mgomo na kuufungia uongozi wa kiwanda hicho ndani kwa madai
ya kutolipwa ongezeko la mishahara yao kwa muda mrefu.
Kutokana na Sekeseke hilo,Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ,Paul Makonda ameamuru kiwanda hicho kifungwe kwa muda ili kusaka suluhu
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj71Do7Dcg-RIHsLzUGdxZ2SsYwiD5aCK4kT1IeoEvztzDyUnzA2xko4z_j2WDXxt1TPhhS435PbSDgAqIAgq5GfjjYJdcNd3LeXehzv4tS3hB8Q9NFwJIRy3Qz5vuw9dZmT0ZuvGkbQO0/s640/wafanya+kazi+wa+kiwanda+cha+urafiki+katika+mgomo.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjv7LrDTuZ9Y4HU1x-2pvti6Vq-mrX_NcY6anHbthF1z-jxTe3tvZ8mpqQTuidgcFDjtraEM69CyEXA4K5L9EDI2dmYpaWerRkA0uSF3KKKFZLxE569lASJzKLgCIr9QdB8IdeC44t7KoU/s640/kiwada+cha+urafiki.jpg)