Posts

Alikiba - Oya Oya (Official Music Video)

NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Barnaba ambae time hii ametuletea video mpya iitwayo Yalaaniwe mpenzi, itazame hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia OMMY DIMPOZ ASIMULIA KIBA ALIVYOOKOA MAISHA YAKE “HATA NIKIMFUMANIA NA MKE WANGU NA MSAMEHE”

Barnaba katuletea hii ‘Yalaaniwe mapenzi’, itazame hapa (video+)